iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu , Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Muqawama (mapambano ya Kiislamu) usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu.
Habari ID: 3478588    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27

Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amezuru Haram tukufu ya Imam Khomeini (MA) na makaburi ya Mashahidi ya Behesht Zahraa sambamba na kuanza maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3478280    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/31

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama kubwa za maadui ni kuwatoa uwanjani wananchi wa Iran na kwamba Ukanda wa Gaza hivi sasa ni mfano wa wazi na wa kivitendo wa nguvu kubwa za wananchi huku akisisitiza kuwa historia haitasahau jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanawake na watoto Wapalestina.
Habari ID: 3478174    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatatu ameonana na wananchi wa mikoa miwili ya "Sistan na Baluchistan" na ule wa "Khorasan Kusini" na kusisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwa nia isiyotetereka katika kukakbiliana na adui.
Habari ID: 3477583    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na Rais wa Kazakhstan na kusema tatizo kuu katika kadhia ya Ukraine ni kuwa, nchi za Magharibi zina mpango wa kupanua muungano wa kijeshi wa NATO.
Habari ID: 3475400    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20